Mtayarishaji wa wimbo/nyimbo ndiye huwa mmiliki wa kwanza kabla ya makubaliano ya ushirikiano au ununuzi. Kwa mataifa ya Afrika hasa Tanzania mentality za wengi huwaona waimbaji ndio wamiliki na kusahau watarishaji bila mirabaha wala credit.
Mfano; Muziki wa kielektroniki Dj/Producer husimamia utayarishaji wa wimbo/nyimbo hadi tamati na hutafuta mtu wa ku-ovelay vocals, makubaliano ndio yanaweza determine kuwa solo, feature au collab X.
Huu ni wimbo Gotlucky - Together lakini sauti sio yake, yeye kafanya utayarishaji, akitia vocals za muimbaji na record label ikifanya usambazaji.
Huu ni wimbo wa Skrillex akimshirikisha J Balvin katika (Audio) na J Balvin x Khaby Lame katika (Video) - In da Ghetto.
Huu ni wimbo wa El Mukuka akimshirikisha Adekunle Gold - Lost
Huu ni wimbo was Felix Jaehn akimshirikisha Jasmine Thompson - Ain't Nobody.
Kuweza kuelewa kwa ufasaha fuatilia muziki wa EDM kwa kuanza na majina kama Avicii, Plastik Fvnk, Basti M, Armin Van Bureen, Nicky Romero, El Mukuka, Micha Moor, Robin Schulz, Alan Walker, David Guetta and co utaelewa kwa uzuri.