Dj Mafuvu wa EA Radio / EATV ndani ya Hot 96 ya Kenya

B.4really

Senior Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
199
Reaction score
89
Habari wanaJF,

Nipo nasikiliza Hot 96 radio ya Kenya namsikia DJ Mafuvu anagonga Bongo Hip Hop za hatari ndani ya kipindi cha Mistari,
Je ndio DJ Mafuvu kala shavu kwa mzee Kenyatta!?
 
Nathani huyu dogo kasha sepa eatv na nafasi yake imechukuliwa na dj ommy crzy
Hata ukingia account yake ya insta sio mfanyakazi tena wa eatv sasa hatujui ataamua kwenda wapi..?
 
Account ya mafuvu ikionyesha sio mfanyakazi wa eatv
 
Attachments

  • 1429780412651.jpg
    30.3 KB · Views: 690
Nathani huyu dogo kasha sepa eatv na nafasi yake imechukuliwa na dj ommy crzy
Hata ukingia account yake ya insta sio mfanyakazi tena wa eatv sasa hatujui ataamua kwenda wapi..?

Atakuwa ameenda kujiajiri!!
 
huko ndo ameona bora kuliko eatv? Anyway nilikuwa namkubali sana , kila laheri kwenye new career
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…