DJ PQ ashindwa kupiga nyimbo za Tanzania ndani ya BBA

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
1,459
Reaction score
286
Leo ilikuwa zamu ya DJ kutoka Tanzania kuwaburudisha washiriki wa shindano la Big Brother Africa. Kwa kawaida Multichoice huwa wanaaalika maDJ kutoka nchi wa
shiriki kila jumamosi saa 5 mpaka saa 6 usiku kuwarusha majoka washiriki wa BBA.

Leo DJ kutoka Tanzania ambaye pia ni radio DJ wa Clouds FM, DJ PQ alipata nafasi ya kuwa burudisha washiriki. Cha ajabu huyu DJ ameonesha umbulula wa hali ya juu kabisa kwa kutopiga nyimbo ya Tanzania hata moja zaidi ya nyimbo ya mshiriki kutoka Tanzania aitwaye Feza kama dedication kwake.

Badala yake 80% kapiga nyimbo za Nigeria hasa za Psquare. Hili limenishangaza sana kwani hakuna nyimbo yoyote ya bongo flava yenye hadhi ya kupigwa ndani ya jumba la BBA?

Mbona ma DJ wengine waliotangulia wiki za nyuma walipiga nyimbo mbili ama tatu za nchini mwao? Hata DJ wa Kenya alipiga za kwao pamoja na Tanzania mfano alipiga nyimbo ya Kesho ya Diamond na ya AY.

Tafsiri yangu ni kuwa huyu mbulula hana confidence kabisa, licha ya mabosi wake Clouds FM kuhubiri umuhimu wa kutumia vizuri fursa "opportunity" lakini huyu DJ somo halijamuingia.

Hii inafanya watizamaji wa nchi zingine wahisi kwamba Tanzania hakuna wanamuziki na kwamba tuwasikiliza Psquare tu.

Ngoja nikope msemo wa Clouds FM kwa kumalizia "MADE IN TANZANIA".
 
Naomba mfahamu ktk Ma DJ vijana DJ Steve B pekee ndio mwenye upeo juu ya muziki(walau kwa sasa).
Madj wengi wanajua kupiga tu lakini hawana ufahamu wa kutosha wa muziki.
Ufahamu wa muziki unaweza kulazimisha mashabiki wapende nyimbo hata kama hawajawahi kuisikia kwasababu utaipiga with "skills".
Madj wa sasa lazima wapige nyimbo common na maarufu ili kuvuta mashabiki.
Itachukua muda kupata watu wa level za DJ BONNY LUV na DJ JOHN DILINGA.
 
inshort mi si mpenzi wa madj wa clouds except DJ SKILLS ILA JANA JAMAA PQ ALIPIGA WIMBO MOJA WA KITZ AMBAO UMEIMBWA NA MSHIRIKI WA TZ KTK MASHINDANO HAYO FEZA sasa sijajua kama feza ni mtanzania ama lah.
 

DJ Stev B sio kijana tena . Hebu fuatilia kuwa au kuitwa kijana mwisho ni umri gani.
 
Daah kweli alichofanya Sio Fresh mbona TZ kuna wasanii wananyimbo kali zenye mitundo ka p.square mf; aika & nahreel - usinibwage, navykenzo-hold me back or cheza kizembe huko bora wangempelekea DJ MAFUVU AU SAMA huyo jamaa nae umimi ulimzidi kuna nyimbo nying watu wanacheza mtundo sio lazima waelewe lugha, mf ya nyimbo nyingine sheta- sina iman, madee-pombe yangu, chibwaa-nishai, shaa - lavalava
 
hivi mapresenter wa clouds unaona kuna hata mmoja mwenye akili? wao wanachojua ni kudidimiza sanaa ya bongo. ni makupe/wanyonyaji. mia
 
Hivi huko kwenye jumba la kaka mkubwa mbona wanaendaga madj kutoka mawingu fm tu?hakuna madj kutoka sehemu nyingine,hebu angalia,alienda Steve B(clouds fm),akaja Dj Fetty(clouds fm) sasa ametoka Dj PQ(clouds fm).kweli mawingu ni noumaaa....
 
Hivi huko kwenye jumba la kaka mkubwa mbona wanaendaga madj kutoka mawingu fm tu?hakuna madj kutoka sehemu nyingine,hebu angalia,alienda Steve B(clouds fm),akaja Dj Fetty(clouds fm) sasa ametoka Dj PQ(clouds fm).kweli mawingu ni noumaaa....

Mawingu kwakweli wameikamata bongo kwenye entertainment,tunajaribu kuwashusha lakini wapi mianya yote wameshikilia wao sijui media nyingine zinakuwa wapi
 
hahahaaaa made in tz ni utumbo mtupu, ndio maana hat marekani wanajua tx asili ya muxic wetu ni wa kiutamaduni na si kama hip pop lkn hawaelew kaxi kukazana na kitu ambacho ni chakuiga hata ya saida karoli kashindwa kupigaaa
 

Well spoken kaka DJ MAFUVU ANATISHA sana semaUcloudz umetuzidi hivi kweli unashindwa kuplay nyimbo za kina shaa,nahreel & aika,cpwaa,a.y,Tash hata basi za ndugu zetu wakenya basi...mtcheew..Huyo dj PQ buree kabisa shout out to MAFUVUU BAIBEY
 
Well spoken kaka DJ MAFUVU ANATISHA sana semaUcloudz umetuzidi hivi kweli unashindwa kuplay nyimbo za kina shaa,nahreel & aika,cpwaa,a.y,Tash hata basi za ndugu zetu wakenya basi...mtcheew..Huyo dj PQ buree kabisa shout out to MAFUVUU BAIBEY

mafuvu labda anatisha kwa makele ila udj hana jambo!
 

Uko sahihi mkuu, DJ anapiga nyimbo za PSquare tu ili kuficha uchovu wake katika sanaa ya U-DJ.
 
Well spoken kaka DJ MAFUVU ANATISHA sana semaUcloudz umetuzidi hivi kweli unashindwa kuplay nyimbo za kina shaa,nahreel & aika,cpwaa,a.y,Tash hata basi za ndugu zetu wakenya basi...mtcheew..Huyo dj PQ buree kabisa shout out to MAFUVUU BAIBEY

Madj wengi wanajua kupiga lakini wanaupeo mdogo sana wa muziki akiwemo huyo dogo mafuvu.Pia hawana test ya muziki.
Hawa madogo ukiwakusanya na wenzake watano redioni (let say Dj Zero n.k) wapige ngoma bila kuweka jingo huwezi kujua nani ni nani!!
Hebu angalia hii playlist iliyopigwa na DJ JD kipindi cha nyuma akiwa Uhuru FM,Alipiga Getto ya Akon alafu kwa mixing kali ikapanda Family potrait ya pink then kwa mbaliiii where is love ya black eyed peace ikapandishwa lakini imefinywa kwa looping kali hivyo kufanya usistukie ngoma inayopanda hadi alipoiachia kwa bonge la cutting!!
angalia maudhui ya hizo nyimbo na zilivyopigwa!
Dj sio anakurupuka tu na common songs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…