Yaan bora amerudi tuTulikumis dj bora umerudi
Akaribie tu dada mana nilikuwa najiuliza na kujijibu mwenyewe.Karibu tena muosha masufuria chit chat imepoa ujue tulikumiss mnooo
Kabisa dada akee tulimmiss tuAkaribie tu dada mana nilikuwa najiuliza na kujijibu mwenyewe.
Sakayo joanah Linamo ukhuty carbamazepine stable woman Numbisa Neybright hatujapiga soga siku nyingi jamani hebu muosha rungu akaribie tu kwa kweli.
Hahaaaaa. Kweli kabisa.Kabisa dada akee tulimmiss tu
Kweli nimefurah kumuona ujueAkaribie tu dada mana nilikuwa najiuliza na kujijibu mwenyewe.
Sakayo joanah Linamo ukhuty carbamazepine stable woman Numbisa Neybright hatujapiga soga siku nyingi jamani hebu muosha rungu akaribie tu kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi umejuaje busy na jiko
Mpaka mkate wa kumimina nimejua kupika ujue Ney[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie tena
Palipoa sana aiseehKabisa yaani. Ila tuseme ukweli chitchat kulipoa bana.
SanaaaaPalipoa sana aiseeh
Mie nimejua hadi visheti vya shanuo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka mkate wa kumimina nimejua kupika ujue Ney
Ahahahaaaaaa uwiii,Mpaka mkate wa kumimina nimejua kupika ujue Ney
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nimejua hadi visheti vya shanuo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
abroad inakuzuia niniI was abroad guys so very soon,we will resume our chitchat interviews
Be blessed!
Popote ambapo huoni ndani kwako ni abroad [emoji28][emoji28]Mimi mshamba jamani Abroad ndio wapi?!
Mie nimejua hadi visheti vya shanuo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo muosha masufuria huko abroad harudi tena au ebu atuwekee na mapicha picha basi ujue watu watakufwaAhahahaaaaaa uwiii,
Mie kalmati zilikuwa zinanisumbua kutengeneza shape lakini toka dj kwenda abroad sasahivi kalmati zangu zinatoka na shepu nzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]