Hapa pia wapo wanaoumia saa hizi hawachelewi kuja na mipasho yao.Kweli kabisa
Ujue ninachompendea muosha masufuria buana sio mtu wa kupanick hata umuudhi vipiii yaan nampa hongera zake sanaHawaeleweki wanataka nini.
Kweli kabisa
how old is she??
Kama nawaona wanavyosoma msg huku wamekunja ndita [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]Hapa pia wapo wanaoumia saa hizi hawachelewi kuja na mipasho yao.
karibu tena aiseeComrade [emoji23] [emoji23]
Ujue ninachompendea muosha masufuria buana sio mtu wa kupanick hata umuudhi vipiii yaan nampa hongera zake sana
Si unajua team yetu ndio tumezoea kukuita hivyo jamanShunie masufuria tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue nahisi mnakunywa balimiHapa pia wapo wanaoumia saa hizi hawachelewi kuja na mipasho yao.
Kama nawaona wanavyosoma msg huku wamekunja ndita [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Hicho ni kipawa shogaangu kama hujajaaliwa ni ngumu kujifunza, maana kwa mashushu wanayompaga kwa hali ya kawaida ni ngumu kuvumilia acha tuu.Ujue ninachompendea muosha masufuria buana sio mtu wa kupanick hata umuudhi vipiii yaan nampa hongera zake sana
Tunapata juice ya ukwaju hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue nahisi mnakunywa balimi
Kweli mamy ana moyo wa pekee huyu mkaka jaman yaanHicho ni kipawa shogaangu kama hujajaaliwa ni ngumu kujifunza, maana kwa mashushu wanayompaga kwa hali ya kawaida ni ngumu kuvumilia acha tuu.
Hapana buana mnakunywa balimi mjue nyieTunapata juice ya ukwaju hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua nimenote mwenyewe kumbe tupo wengi,
Kweli nimeamini watu ni wengi binadam ni wachache.
Ooh interview gani imepooza mara inabore jamani sijui wanatakaje kwakweli
Teh!najua twinnie ila nitakufichia siriUmeshasahau pacha. Baba alishakataa ujue. [emoji85] [emoji85]
Kasema niwe mtazamaji.
Hatupendi kulewa tunapenda kukunja sura tuu [emoji26][emoji26] ndio maana tunapenda ubuyu na juice ya ukwajuHapana buana mnakunywa balimi mjue nyie
Yaani tulipoa mnooAkaribie tu dada mana nilikuwa najiuliza na kujijibu mwenyewe.
Sakayo joanah Linamo ukhuty carbamazepine stable woman Numbisa Neybright hatujapiga soga siku nyingi jamani hebu muosha rungu akaribie tu kwa kweli.