DJ sepetu interviews

Nilichogundua huyu @muosha rungu anakubalika sana kwa watoto wa kike, ila midume inampiga vita[emoji23], what's wrong?
 
Ukiangalia wanaomkaribisha dj kwa moya mkunjufu wengi ni wanawake...why???au ndio wabaume tunamuonea donge...well...welcome back dude....it has been empty without you,!!!!
Thanks bro
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila sakayo ana maneno eti wa Memkwa lol.
Sasa kama wenzio wanataka kujifunza mambo ya hogo na bamia huoni ni jambo la kusikitisha sana mydear?
Yaan mie huwa wananifurahisha mno, sakayo kawaza mbali sana itabidi tumpatie tuzo ya ufikiri [emoji23][emoji23]
 
Kabisaaaaa. Umenena my dear. [emoji23] [emoji23]
 
Ni Shost wao..Swali..
Ulishaona Shoga anafungamana na wanaume?
Shoga unaweza ukawa weye maana unadhan kila mtu shoga humu,tulia hakuna mtu atakupokonya baasha wako!
Vipi! naona jina hili ulilobadili limebuma nalo! Kweli lazima uwashwe![emoji23] [emoji23]
 
Sawa Dada sepetu msalimie shemeji
Shoga unaweza ukawa weye maana unadhan kila mtu shoga humu,tulia hakuna mtu atakupokonya baasha wako!
Vipi! naona jina hili ulilobadili limebuma nalo! Kweli lazima uwashwe![emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…