Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Unamaanisha ni kama mtu aliyeenda kuchinja vile, lazima arejee nyumbani na mguu?Kuishi mjini mipango! Huyu di namjua tangu anapiga pale samaki ya town. Alikua akimaliza anaondoka na mdau
Fomu ya maombi ya kujiunga jukwaa la wakubwa inapatikana wapi?Siku hizi baada ya kuligundua jukwaa la wakubwa naona umepotelea huko kabisa!!
Muombe scorpion me atakusaidia mkuu kwa sababu yeye ndo kinara wa huko!Fomu ya maombi ya kujiunga jukwaa la wakubwa inapatikana wapi?
Sawa mkuuMuombe scorpion me atakusaidia mkuu kwa sababu yeye ndo kinara wa huko!