Dj Sinyorita ni mrembo jaamani...

Kama unamtazama live umeshindwa kutupa picha yake ya live

shushushu VIP
 
Mbona wakawaida sana?? Tena hapo amejaza make up na msasa umepita
 
Wakubwa wanaofaidi ni kina nani? au ni Adamu, maana pale ndio lirefu kushinda wenzake.
 
Chura iko wapi hapo? [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
"mtu chake apendacho hakina hila machoni
huridhika kuwa nacho japo hakina thamani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…