Dj Sinyorita ni mrembo jaamani...

Kawaida tu hafai hata kuea demu wangu
 
Demuwa kawaidasana ya ani hausi geli wangu ndio kidoogo anafanana naye
 
Data salama Mkuu. Naitaka hii mixtape nataka niiweke kwenye flash ntafanyaje?
Mcheki Sinyo Insta....

Ila kavivu kweli kujibu msg...

Usiende kwa gia ya kukatongoza hakata kujibu ..

Tehh...
 
Mcheki Sinyo Insta....

Ila kavivu kweli kujibu msg...

Usiende kwa gia ya kukatongoza hakata kujibu ..

Tehh...
Mkuu sina account insta. Pia siwezi kukatongoza naskia ukimchukua lazima akupige sachi kwa ufupi ni demu mwizi. Kuna mshikaji wangu alimuchukia akampeleka geto akamwibia. Wakapelekena mpaka police. Police wakamwambia mshikaji huyu demu ndio zake
 
Hahhaha...

Ok..let me see..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…