Duh!!!hatari sana kwa mwonekano wake haendani kabisa na maelezo uliyo yatoa kumbe kanatabia chafu.Mkuu sina account insta. Pia siwezi kukatongoza naskia ukimchukua lazima akupige sachi kwa ufupi ni demu mwizi. Kuna mshikaji wangu alimuchukia akampeleka geto akamwibia. Wakapelekena mpaka police. Police wakamwambia mshikaji huyu demu ndio zake
Ahaaaaaaaaa nimeshiba kaka!!
Its subjective mzee... Vigezo hutofautiana..Mara nyingi huwa mnazingatia vigezo gani mpaka mnasema binti fulani ni mrembo? Tafadhali naomba kufahamishwa.
#nakwenda_zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nnachokwambia ndio ukweli. Nadhani mimi ndio wa kwanza kupandisha uzi humu kuhusu huyu dada nkasema nampenda hatariiiiiii katika fatilia ndio ntakutana na hayaa na nkaamua kujihakikishia hizi taarifa kwa vyanzo vya uhakikaDuh!!!hatari sana kwa mwonekano wake haendani kabisa na maelezo uliyo yatoa kumbe kanatabia chafu.
-Ndumilakuwili-