DJ Skills ndani ya BB all stars alichmesha

DJ Skills ndani ya BB all stars alichmesha

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Alichelewa kufika,

Alishindwa kutumia mitambo kitu kilichomgarimu muda zaidi wa yeye kuelekezwa/mixing,na show kuchelewa kuanza na kubore washiriki/bb all stars

Alifunika pale alipocheza nyimbo 2 kutoka TZ Shekide wa Dully skyes na Mikasi wa Ngwea. (Angecheza/kutambulisha nyimbo nyingi zaidi kutoka bongo)

images
images
 
Hahahahahaaha watu wa kubebwa, huyu jamaa kachomekwa na kile ki tshirt chake cha clouds fm .
 
Waalikwa kutoka bongo ndio zao kuchemsha.
Kayumba alikuwa ndio kiongoza na sasa huyu kafuatia.

Wakubwa ilikuwa aibu kusema kweli, hata kutumia laptop kwenye song choice alishindwa akaishia kuchukua muda mwingi ku serach kwenye ile CD case huku mixing ikiwa dhaifu. Wakati huo huo huku home Nyuki DJs wanatangaza wanafunika ile mbaya huko BB all stars :becky::becky:

Hahahahahaaha watu wa kubebwa, huyu jamaa kachomekwa na kile ki tshirt chake cha clouds fm .
 
Mi niliona aibu kishezi, watuma msg wengi walimponda mbaya, kidogo niingia uvunguni.

Washiriki walikua bored wakawa wanaenda vyumbani.
 
Mi niliona aibu kishezi, watuma msg wengi walimponda mbaya, kidogo niingia uvunguni.

Washiriki walikua bored wakawa wanaenda vyumbani.

Msg moja ile sema "This DJ from Tanzania sucks big time"
 
vigezo gani vilitumika kumpeleka huyo "KIHIYO" kimeo hapo big braza?....ndio athari za watu "kubebwa"ilhali hawana uwezo
 
Mitanzania kwa kupenda sifa subili arudi uone atakavyo paishwa...
 
Mitanzania kwa kupenda sifa subili arudi uone atakavyo paishwa...

Mkuu kwani hukusikia leo asubuhi kwenye power bureki ya fasta walivyokuwa wanamwagia sifa?
 
Nikisema watanzania wanaongoza kwa kuvamia fani mtaniona nasimanga
wasanii wengi nchini si wasanii bali majambazi ya fani
 
mechi za nyumbani tu tena wao ndo waandaji wa hizo FIESTA zao wanaburuzwaga na WAKENYA utategemea ushindi ugenini?nawakumbuka THE POWEFULL FOUR kwakweli...
 
Nyie amuoni hata afya ashajichokea kama anatumia dawa
 
Back
Top Bottom