DJ Steve B bado yupo CMG hasa Clouds Fm?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Ni muda sijamsikia mkali DJ Steve B ambaye binafsi naamini baada ya kizazi cha akina DJ John Dilinga na DJ Bonilove hakuna anayemfikia.

Bongo tumekuwa na tatizo la DJs wanaojua muziki deep levels za mababa wa kupiga muziki Bongo yaani Dj JD na Bonilove. Lakini Steve B ni moja ya Djs ambao upigaji wake kama unajua muziki utajua anafahamu muziki.

Vipi Steve ameondoka CMG? Umri wake bado ulikuwa unamruhusu sana kuendelea na carrier yake kwa muda mrefu, kwanini amezimika kiasi hiki? Hana hata gig town!

Btw, leo clouds mmetisha sana na ubunifu wenu wa kuleta DJs tuliowamiss kitambo radioni, kuanzia number moja DJ JD a.k.a The Legend aliyetutoa jasho asubuhi kwa oldies, boogie Master na top Dj kwasasa Dj Mafuvu.
 
Steve bizzo moto wake wa gesi. Siku mojamoja anapiga mziki jumamosi mchana.
He is very different akiwa yeye kwenye deck utajua tuu. Amazing playlist.

Hawa wakina D ommy hakuna kitu kabisa.
Martin Fundi bingwa wa michano yuko wapi wazee? Inabidi tupate replica ya Chiiiiid benzino kwenye rap game
 
Wakuu,

Ni muda sijamsikia mkali DJ Steve B ambaye binafsi naamini baada ya kizazi cha akina DJ John Dilinga na DJ Bonilove hakuna anayemfikia.

Bongo tumekuwa na tatizo la DJs wanaojua muziki deep levels za mababa wa kupiga muziki Bongo yaani Dj JD na Bonilove. Lakini Steve B ni moja ya Djs ambao upigaji wake kama unajua muziki utajua anafahamu muziki.

Vipi Steve ameondoka CMG? Umri wake bado ulikuwa unamruhusu sana kuendelea na carrier yake kwa muda mrefu, kwanini amezimika kiasi hiki? Hana hata gig town!

Btw, leo clouds mmetisha sana na ubunifu wenu wa kuleta DJs tuliowamiss kitambo radioni, kuanzia number moja DJ JD a.k.a The Legend aliyetutoa jasho asubuhi kwa oldies, boogie Master na top Dj kwasasa Dj Mafuvu.
\
wengi wakongwe pale kwa sasa wako nyuma ya ofisi wanasaidia kampuni.. Steve B baada ya vijana kuja Zero, Dommy na Sinyorita akawa kama kawaachia nafasi akawa anaisupport Choice fm.. kwa sasa nadhan yuko Idara ya Muziki.. the same to MuliB Wako ki usimamizi zaidi ili mambo mengine yaende
 
Kiss fm ya mwanza nayo iliburuza sana dj malice. Huku magic unakutana na Majizzo hatari.

Lakini wote 9 ila 10 ni Dj Pinyee toka nairobera huyu kwenye mega mix na scratching ni hatari.

Much respect to Rankim RIP. DJ Habib, Ommy, Charles Mhamiji alias Mr. C Chalz alikuwa noma kwa vumbi la Kongo DRC mabuzuki.

Dogo mmoja wa mwenge Ibra mtoto wa DC mstaafu Ahmed Kipozi . Shout out kwa vijana wote wa mwenge ma dj mpaka akazaliwa dj PQ. Marehemu Eddy baunsa naye alikuwa fundi kwemye decks.
 
Steve B,...Wewee ndio unafanya mpaka muji unatingishika (Mr EBO Voice)
Sleve B.......wewe dio inafanya muji natishingika......huyu jamaa ahuwa namuelewa sana pia DJ VENTURE daaah!! Hawa jamaa enzi zao walikuwa poa sana bila kumsahau Mzungu wa Morogoro DJ JD,kuna mmoja tu pale Mawingu alikuja alikuwa wa hovyo sana anaitwa sijui DJ ARON daah huyu mshikaji hajui kabisa mziki yaani nasema hajui kabisa!!
 
Kiss fm ya mwanza nayo iliburuza sana dj malice. Huku magic unakutana na Majizzo hatari.

Lakini wote 9 ila 10 ni Dj Pinyee toka nairobera huyu kwenye mega mix na scratching ni hatari.

Much respect to Rankim RIP. DJ Habib, Ommy, Charles Mhamiji alias Mr. C Chalz alikuwa noma kwa vumbi la Kongo DRC mabuzuki.

Dogo mmoja wa mwenge Ibra mtoto wa DC mstaafu Ahmed Kipozi . Shout out kwa vijana wote wa mwenge ma dj mpaka akazaliwa dj PQ. Marehemu Eddy baunsa naye alikuwa fundi kwemye decks.
Kwenye Mabuzuki usimsahau DJ Ommy alikuwa Radio One mzee alikuwa poa sana huyu jamaa sijui yupi wapi huyu Mhenga daah!!
 
Wakuu,

Ni muda sijamsikia mkali DJ Steve B ambaye binafsi naamini baada ya kizazi cha akina DJ John Dilinga na DJ Bonilove hakuna anayemfikia.

Bongo tumekuwa na tatizo la DJs wanaojua muziki deep levels za mababa wa kupiga muziki Bongo yaani Dj JD na Bonilove. Lakini Steve B ni moja ya Djs ambao upigaji wake kama unajua muziki utajua anafahamu muziki.

Vipi Steve ameondoka CMG? Umri wake bado ulikuwa unamruhusu sana kuendelea na carrier yake kwa muda mrefu, kwanini amezimika kiasi hiki? Hana hata gig town!

Btw, leo clouds mmetisha sana na ubunifu wenu wa kuleta DJs tuliowamiss kitambo radioni, kuanzia number moja DJ JD a.k.a The Legend aliyetutoa jasho asubuhi kwa oldies, boogie Master na top Dj kwasasa Dj Mafuvu.
Kiboko yao alikuwa DJ Mbowe
 
Back
Top Bottom