MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wakuu,
Ni muda sijamsikia mkali DJ Steve B ambaye binafsi naamini baada ya kizazi cha akina DJ John Dilinga na DJ Bonilove hakuna anayemfikia.
Bongo tumekuwa na tatizo la DJs wanaojua muziki deep levels za mababa wa kupiga muziki Bongo yaani Dj JD na Bonilove. Lakini Steve B ni moja ya Djs ambao upigaji wake kama unajua muziki utajua anafahamu muziki.
Vipi Steve ameondoka CMG? Umri wake bado ulikuwa unamruhusu sana kuendelea na carrier yake kwa muda mrefu, kwanini amezimika kiasi hiki? Hana hata gig town!
Btw, leo clouds mmetisha sana na ubunifu wenu wa kuleta DJs tuliowamiss kitambo radioni, kuanzia number moja DJ JD a.k.a The Legend aliyetutoa jasho asubuhi kwa oldies, boogie Master na top Dj kwasasa Dj Mafuvu.