D'jaro Arungu rekebisha kiswahili,!,Unapotosha maana ya Habari.

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
3,497
Reaction score
2,026
Wakati nikiwa tz,miaka ya nyuma kidogo nilikuwa mpenzi sana wa kusikiliza vipindi vya burudani na habari,na kwa mkoa niliokuwa ikikuwa rahisi na facta kuipata TBC fm hewani.pamoja na vipindi vingine nilipenda sana kusikiliza kipindi cha d`jaro arungu cha saa 11:00jion hadi tatu usikuvkama sikosei ila sijui kama kwa sasa bado kipo.Mtangazaji huyu alikuwa akinivutia kutokana na jinsi anavotangaza na vichombeza katika kipindi chake.hakika nammis sana
Majuzi alianzisha web yake sijui ndo blog! Wanaita inaitwa BABA MZAZI.huwa naingia mara kadhaa facebook na kukuta link zako kwa kuwa tu marafiki pia.Lakini kinachonifanya niandike uzi huu ni kasoro katika kuelezea vichwa vya habari ama habari.kasoro hii ni ya matumizi ya lugha na matamshi kwa ujumla,sarufi na.muundo wa sentesi.pamoja na kwamba habari nyingi za blogs huwa mnakopy na kupesti lakini kuna ambazo wewe huwa unaandika mwenyewe,big up.
Najua kabisa kwamba wewe ni mjaluo wa musoma kule sirari kama sikosei,lakini nashindwa kuelewa kwa nn hujaimprove kiswahi mpaka sasa japo kuwa unajitahidi ukilinganisha na wenzako kule rolya na sirari.Najua pia kiswahili ni kigumu lakini naomba tafut mtu wa kuwa anapitia habari zako kabla hujazrusha kwa jamii maana unamashbiki wengi wanaguatilia ama blogerz wengine wanaokopy kwako watashindwa maana kiswahili chako kinamatege kidoogo.
Ushahidi wa hiki nilichokisema ni huu hapa best
,,Tazama video ya tinfu lisu akisema muungano wa tanganyika na zanzibar IMEKUFA

Computer za ushahidi zilizotumika kwenye UWIZI wa atm zaibiwa ndani ya kituo cha polisi-makao MAKU
Wanaua hawakamatwi kisa ANA PESA na yupo juu ya sheria.Hii ndiyo tanzania.
Apoteza fahamu kwa siku 10 baada ya kupikea simu ikiwa KWA chaji.
Basi la najmunisa LIMEUAWA watu wanne leo hii. Baadhi ya makosa hapo juu niliyoyaandika kwa herufi kubwa ni machache kati ya mengi yanayopatikan kwenye habari zako.ni kwel pia kwamba binadam tunakosea pia katika maswala ya uandishi,lakini haileti picha nuuri hasa kwa mtu wa media kama wewd na mtangazaji wa siku nyingi.
Usjali maana hayo ni maoni yangu binafsi,n mimi mdau wako.ila unajitahidi katika kazi yako big up.japo huko unapofanya kazi ni mafichoni sana na inakuwa ngumu watu kutambua uwezo na kipaji chako.
 
I see!!.......

Nyani halioni kundule. Moderator huyu jamaa hata heading imemshinda, badala ya neno unapotosha yeye ameandika unapotisha.
 
Akili ndogo kamwe haiwezi kuongoza wala kuifundisha akili kubwa, heading yako imeshafanyiwa editing na Moderator, wewe tulia pata elimu kutoka kwa Think tankers wa JF.:A S-key:

Mwenye akili mdogo nani mm ama wewe??. Du haya bana naona umeamua kwel kwel,lait ungejua!,ok ila thax kwa kunikumbusha na kuwataarifu ma Moderator.ubarikiwe.
 
mbona na wewe una makosa mengi sana!!!!

in other words I can say the same shit different toilets!!!!!

huna tofauti na huyo uliomsema hapo juu lol!!!!!
 
Mbona unakuwa mgumu kuelewa??,kwan mi bloger??,afu usipende kuchangia kwa kusoma wengine wamechangia nn jaribu kushughulisha akili yako
 
Ilikuwa rahisi na FACTA kuipata TBC

Hujaimprove KISWAHI

Haileti picha NUUR kwa mtu wa media kama WEWD
.
Kukosoa ni vizuri ila unapokosoa jitahidi na wewe usifanye makosa yaleyale unayayakosoa.
 
Hahaha sawa mkuu ila hii tulushazungumza huko juu.pitua pitia utaona kuna mdau jesha nikosia huko juu
 
I see!!......
Mwanipa raha kwakweli.
 
Back
Top Bottom