ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
MTANGAZAJI "DJARO ARUNGU WA TBC FM .
Watangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) D’jaro Arungu @djaroarungu (Baba Mzazi) na Abdul Khalifa @seankhalifatz wameshinda Tuzo za The MVAAWARDS zilizotolewa na usiku wa kuamkia leo Septemba 15, 2024 Jijini Lagos nchini Nigeria.
Arungu ambaye ni mtangazaji wa Kipindi cha Papaso kinachorushwa na TBC Taifa ameshinda tuzo mbili katika vipengele vya Mtangzaji bora wa mwaka wa redio Barani Afrika (Best Radio Personality of The Year Africa) na Tuzo ya Muda wote ya mafanikio kwenye Redio (Best LifeTime Achievement Awards In Radio).
Kwa upande wa Tuzo ya Mtangazaji bora wa Televisheni Barani Afrika, Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha TBC2 Khalifa Abdul (Sean Khalifa) @seankhalifatz ameibuka na tuzo hiyo na hivyo kuling’arisha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) katika tuzo hizo.
UKWAJU WA KITAMBO
0767 542 202