DJI wamezindua OSMO Action 5 Pro camera!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wenye Camera zao, leo tarehe 19 September wamezindua action camera ya huu mwaka, Action 5 Pro.
images (41).jpeg

Directly itaenda ku compete na Flagship ya action camera ya Hero GoPro 13 Black iliyozinduliwa mwezi uliopita.
images (42).jpeg

Action 5 Pro ni upgrade ya Action 4 kutoka DJI na ina baadhi ya features kama:
  • New design ya screen ya mbele na nyuma.
  • Sahivi waterproof hadi mita 20.
  • Sahivi ina memory yake ya 47GB na unaweza weka card hadi ya 1TB.
  • Camera sensor size ni ile ile 1/1.3 inch, ila sahivi 40 MP.
  • 4K sahivi ina support kuanzia 24 fps hadi 120 fps sio kama zamani ilikua 24-60 fps.
  • Pia kuna improved night mode.
  • Battery life sahivi hadi 4 hours kutoka 2 hours.
Kama tulivosema the rest zinafanana na Action 4, kama unayo action 4 unaweza tulia tu.
 
Wenye Camera zao, leo tarehe 19 September wamezindua action camera ya huu mwaka, Action 5 Pro.
View attachment 3100576
Directly itaenda ku compete na Flagship ya action camera ya Hero GoPro 13 Black iliyozinduliwa mwezi uliopita.
View attachment 3100577
Action 5 Pro ni upgrade ya Action 4 kutoka DJI na ina baadhi ya features kama:
  • New design ya screen ya mbele na nyuma.
  • Sahivi waterproof hadi mita 20.
  • Sahivi ina memory yake ya 47GB na unaweza weka card hadi ya 1TB.
  • Camera sensor size ni ile ile 1/1.3 inch, ila sahivi 40 MP.
  • 4K sahivi ina support kuanzia 24 fps hadi 120 fps sio kama zamani ilikua 24-60 fps.
  • Pia kuna improved night mode.
  • Battery life sahivi hadi 4 hours kutoka 2 hours.
Kama tulivosema the rest zinafanana na Action 4, kama unayo action 4 unaweza tulia tu.
Bei
 
Kuna package mbili, standard na combo.

Standard ni $350 sasa sijui mambo ya tax itakuaje hapa. Ila hii package ina camera, battery moja, mounting frame na quick-release mount.

Adventure yenyewe $450 ambayo unapata vya standard plus battery mbili za ziada, charging case, quick release ya ziada na extension rod ya 1.5m.
 
Not bad
 
Ni wakati wa Sony, Nikon na Panasonic wajiandae ushindani kwenye soko la kamera.

Mziki wa DJI sio poa maana kwenye kamera za drones hawana mpinzani so far kwenye soko la dunia

Mchina DJI kafanya mapinduzi makubwa sana kwenye drones na anakuja kuyaleta kwenye kamera
 
Ni wakati wa Sony, Nikon na Panasonic wajiandae ushindani kwenye soko la kamera.

Mziki wa DJI sio poa maana kwenye kamera za drones hawana mpinzani so far kwenye soko la dunia

Mchina DJI kafanya mapinduzi makubwa sana kwenye drones
Kwenye DJI Mchina kawashika pabaya sana wakongwe. Jamaa akifanya research kubwa sana alivotoka booom.

Huko kwenye drones ndio hadi uwa nasahau kama kuna makampuni mengine.
 
Kqa bei ya standard ni sawa kabisa na bei ya GoPro 13 kwahiyo utaamua tu ww uchukue ipi.

Mimi uwa mtu wa nyuma kidogo kupunguza gharama.

Sahivi nina mpango wa kuchukua Action 4 au GoPro 11 au 12.

Nimetumia Action 4 na GoPro 8 kwenye kuendesha Baiskeli na Pikipiki nimezipenda sana.
 
Umesema vyema

High quality and reasonable price

Imefika wakati hadi Marekani wanataka kuipiga ban DJI, but unfortunately it's too late

DJI to the world, here we go!
 
Waliipiga kwa kusema drone yenye uzito zaidi ya gram 250 lazima uiombee permit. Ukienda kuomba kama sio made in US utasumbuliwa hadi useme basi.
 
Kqa bei ya standard ni sawa kabisa na bei ya GoPro 13 kwahiyo utaamua tu ww uchukue ipi.

Mimi uwa mtu wa nyuma kidogo kupunguza gharama.

Sahivi nina mpango wa kuchukua Action 4 au GoPro 11 au 12.

Nimetumia Action 4 na GoPro 8 kwenye kuendesha Baiskeli na Pikipiki nimezipenda sana.
Mkuu wewe ni Youtuber ...!?
 
Back
Top Bottom