Djigui Diara "The screen protector" a.k.a mdaka mishale

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Djigui Diarra '𝗦𝗖π—₯π—˜π—˜π—‘ 𝗣π—₯π—’π—§π—˜π—–π—§π—’π—₯' amefikisha jumla ya Clean Sheet 15 huku akifuatiwa na Aishi Manula mwenye Clean Sheet 12.

Mwaka huu Tuzo ambazo zina wamiliki tayari ni:-

Bingwa wa Nbcpl- π—¬π—”π—‘π—šπ—”
Top Scorer- π—™π—œπ—¦π—§π—’π—‘ π— π—”π—¬π—˜π—Ÿπ—˜
Best Goalkeeper- π——π—π—œπ—šπ—¨π—œ π——π—œπ—”π—₯π—₯𝗔

Hizo zingine mtagawana niwakumbushe tu tar 16/04 mwamba atakuwepo...[emoji1]
1681398383245.jpg
 
[emoji1018] Djigui Diarra '𝗦𝗖π—₯π—˜π—˜π—‘ 𝗣π—₯π—’π—§π—˜π—–π—§π—’π—₯' amefikisha jumla ya Clean Sheet 15 huku akifuatiwa na Aishi Manula mwenye Clean Sheet 12.

Mwaka huu Tuzo ambazo zina wamiliki tayari ni:-

Bingwa wa Nbcpl- π—¬π—”π—‘π—šπ—”
Top Scorer- π—™π—œπ—¦π—§π—’π—‘ π— π—”π—¬π—˜π—Ÿπ—˜
Best Goalkeeper- π——π—π—œπ—šπ—¨π—œ π——π—œπ—”π—₯π—₯𝗔

Hizo zingine mtagawana niwakumbushe tu tar 16/04 mwamba atakuwepo...[emoji1]View attachment 2586669
Huyu anacheza shirikisho
 
Naona ile siku imeshawadia. Je, mashabiki wa simba mpaka sasa wana maoni gani?

Maana kwangu mimi, naona hata mchezaji bora atatoka Yanga! Kiungo bora Yanga! Mchezaji bora chipuzi Yanga! Makombe yote yatakwenda Yanga!

Simba wataambulia lile kombe lao moja tu, la robo fainali.
 
[emoji1018] Djigui Diarra '𝗦𝗖π—₯π—˜π—˜π—‘ 𝗣π—₯π—’π—§π—˜π—–π—§π—’π—₯' amefikisha jumla ya Clean Sheet 15 huku akifuatiwa na Aishi Manula mwenye Clean Sheet 12.

Mwaka huu Tuzo ambazo zina wamiliki tayari ni:-

Bingwa wa Nbcpl- π—¬π—”π—‘π—šπ—”
Top Scorer- π—™π—œπ—¦π—§π—’π—‘ π— π—”π—¬π—˜π—Ÿπ—˜
Best Goalkeeper- π——π—π—œπ—šπ—¨π—œ π——π—œπ—”π—₯π—₯𝗔

Hizo zingine mtagawana niwakumbushe tu tar 16/04 mwamba atakuwepo...[emoji1]View attachment 2586669
Dah Rasta man alistahili kadi nyekundu hapa mbwa yule
FB_IMG_1681721272058.jpg
 
kama 16th april atakuwepo sema Diarra clean sheet 16
Vipi, kati ya yote hatamsahau Kibu.

Nakuambia fainali ya FA AZAM SPORTS CC hatakaa golini. Ataachia Metacha

Kibu alimtandika Nyundo 2 moja akaokolewa ma refa
 
mngekuwa mnajibu kabla ya mechi kucheza basi
 
Back
Top Bottom