NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Na nyingine mchezaji wa mkopo aliyefunga kuliko wote ili majirani nao wapate.Bodi ya ligi msimu huu wameanzisha tunzo mpya ya top assist ili tu majirani nao wapate hata moja
Huyu anacheza shirikisho[emoji1018] Djigui Diarra 'π¦ππ₯πππ‘ π£π₯π’π§πππ§π’π₯' amefikisha jumla ya Clean Sheet 15 huku akifuatiwa na Aishi Manula mwenye Clean Sheet 12.
Mwaka huu Tuzo ambazo zina wamiliki tayari ni:-
Bingwa wa Nbcpl- π¬ππ‘ππ
Top Scorer- πππ¦π§π’π‘ π ππ¬πππ
Best Goalkeeper- πππππ¨π ππππ₯π₯π
Hizo zingine mtagawana niwakumbushe tu tar 16/04 mwamba atakuwepo...[emoji1]View attachment 2586669
Ulitaka acheze shambani kwenuHuyu anacheza shirikisho
Punguza makasiriko, mtu kama level zake ni shirikisho ataishia hukohuko shirikishoUlitaka acheze shambani kwenu
[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]malizia wapo shirikisho la waliofeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Naona ile siku imeshawadia. Je, mashabiki wa simba mpaka sasa wana maoni gani?[emoji1018] Djigui Diarra 'π¦ππ₯πππ‘ π£π₯π’π§πππ§π’π₯' amefikisha jumla ya Clean Sheet 15 huku akifuatiwa na Aishi Manula mwenye Clean Sheet 12.
Mwaka huu Tuzo ambazo zina wamiliki tayari ni:-
Bingwa wa Nbcpl- π¬ππ‘ππ
Top Scorer- πππ¦π§π’π‘ π ππ¬πππ
Best Goalkeeper- πππππ¨π ππππ₯π₯π
Hizo zingine mtagawana niwakumbushe tu tar 16/04 mwamba atakuwepo...[emoji1]View attachment 2586669
Bado ipo vile vile au kuna mabadiliko? πππBest Goalkeeper- πππππ¨π ππππ₯π₯π
Kwan ana clean sheets ngapi Diara hakuna mpaka Sasa anayemfikia kwa clean sheetsBado ipo vile vile au kuna mabadiliko? [emoji16][emoji16][emoji16]
Dah Rasta man alistahili kadi nyekundu hapa mbwa yule[emoji1018] Djigui Diarra 'π¦ππ₯πππ‘ π£π₯π’π§πππ§π’π₯' amefikisha jumla ya Clean Sheet 15 huku akifuatiwa na Aishi Manula mwenye Clean Sheet 12.
Mwaka huu Tuzo ambazo zina wamiliki tayari ni:-
Bingwa wa Nbcpl- π¬ππ‘ππ
Top Scorer- πππ¦π§π’π‘ π ππ¬πππ
Best Goalkeeper- πππππ¨π ππππ₯π₯π
Hizo zingine mtagawana niwakumbushe tu tar 16/04 mwamba atakuwepo...[emoji1]View attachment 2586669
Dah!Bodi ya ligi msimu huu wameanzisha tunzo mpya ya top assist ili tu majirani nao wapate hata moja
Tulimuona bhana alikwepoπtar 16/04 mwamba atakuwepo...
Vipi, kati ya yote hatamsahau Kibu.kama 16th april atakuwepo sema Diarra clean sheet 16
mngekuwa mnajibu kabla ya mechi kucheza basiVipi, kati ya yote hatamsahau Kibu.
Nakuambia fainali ya FA AZAM SPORTS CC hatakaa golini. Ataachia Metacha
Kibu alimtandika Nyundo 2 moja akaokolewa ma refa
Huyu sio screen protector, leo tupo na screen protector aka mdaka mikibu πTujikumbushe na hiiβ¦!!!