Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Haufatilii mpira hadi watoto walisikia hii kauli wewe leo hii 2026 unataka clip watu wa siasa mmevamia mpira.Ona sasa mnajichanganya wenyewe π chuki haimuachi mtu salama, acheni chuki fanyeni kazi. Hebu tuone ka clip kama unachosema ni kweli
Tukiachana na udiniUsikute na wewe unajiona mwarabu, yote uliyoongea haiondoi ukweli kwamba waaarabu ni wabaguzi, watu walio neutral kwa races nyingine ni wazungu na weusi na ndo maana wanaoana sana, hizi takataka nyingine zinajibagua hadi zenyewe, uliwahi kumuona mchina ana date muhindi au mwarabu!?,ukisema kuendelea umaskini uko pote hadi nchi nyingi tu za kiarabu vinginevyo uwe huijui Dunia vizuri.
Watoto walisikia kumbe na sio kushuhudia! KwaheriHaufatilii mpira hadi watoto walisikia hii kauli wewe leo hii 2026 unataka clip watu wa siasa mmevamia mpira.
Tukiachana na udini
waarab na wahindi ni wabuguzi sana kwa sisi ngozi nyeusi nimeishi nao na nimesoma nao
sio wote wabaguzi
ila wengi ni wabaguzi mapimbi hawa!
Watanzania wangapi wanaenda kushuhudia Kombe la Dunia mpaka uwaweke watoto..Watoto walisikia kumbe na sio kushuhudia! Kwaheri
Watanzania wangapi wanaenda kushuhudia Kombe la Dunia mpaka uwaweke watoto..