Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Ni moja ya sajili Bora kabisa ambayo Eng.Hersi said anastahili pongezi za dhati, ni goalkeeper ambae amekomaa vya kutosha na uzoefu wa kutosha!
Mechi yake ya kwanza dhidi ya south Africa anaondoka na clean sheet uku akiwabeba Mali mgongoni mwake, save 6 za maana uku 3 akizifanya ndani ya box inaonyesha ni namna Gani mwamba alivyo makini na kazi yake!
Anaziamuru beki zake zinazosukuma ndinga ulaya na zinamtii anazipanga vyema na kwa usahihi!
Mwamba katoka na rate ya 9/10 ikiwa na maana kafanya kazi kubwa sana, akuna aliyetoka na rate zaidi ya 8 kwa timu zote za pande mbili kawafunika wote!
Kaitangaza yanga vyema na kaitangaza ligi kuu ya Tanzania vyema, Aya yote ni matunda ya uwekezaji kwenye mpira kwa kufanya usajili Bora na sio Bora usajili, kupata nafasi ya kucheza kwenye first eleven ya kikosi Cha Mali chenye 98% ya wachezaji wanaocheza ulaya sio jambo la kitoto ni mpaka uwe Bora aswaaa!
Aziz ki nae kakiwasha kule Burkina Faso ni kuonyesha ya kwamba ubora wa yanga unatafsiri ya ubora walioujenga kwenye kikosi Chao na sio vinginevyo!
Kuitwa timu za taifa ni jambo moja na kucheza ni jambo jingine!
Hizi ndizo sajili zinazotakiwa kwa Sasa uwezi kwenda peponi kabla ujafa na mafanikio pia Yana njia zake!