Miswahili inaona sifa kuoa ngozi nyeupe,halafu ikiolewa na wanawake ngozi nyeupe inaona sifaaa,lakini hizo ndoa hazikai ,huyu ni kama Seal nae katosa na kibibi chake amebaki kulialia tuhuyu jamaa amechacha siku hizi ..demu amemfilisi kabisa yani..sijui waafrica tuna matatizo gani..hapo unakuta aliacha mke mzuri tu Africa...kimora amesepa koz mshkaji alosto..hajaecti movie nyingi mda mrefu..
but namkubali especially in THE GLADIATOR..."maximus..the roman soldier who became the gladiator and then fight with the Emperor "