Djsbulive asema alikiba ni partnership kwenye mofire

Hahahaaa na kakijembe kwa ambassador wa baleire hia
Ivi inaandikwa Ivyo??

Nimeipenda sana.......congrats kiba
 
Ni jambo zuri ila jamaa apunguze ubaguzi na vijembe (Taraabu)
 
Hingera zake. Vijana sasa wanapiga kazi
 
Partner!?????? Mmmh anyway sijui makubaliano yao ila akili inaniambia king ni balozi though wanajua wao

Mo faya sio ya leo na djsbu ameifikisha hapo kwa mbide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…