Mchezaji kaachwa bado una nuna so ulitaka Yanga wamtafutie timu? mbona sisi tume muacha Banda dirisha la CAF lisha fungwa au ya kwetu huyaoni?Badilikeni mnatakiwa kuona fahari wachezaji wenu wakisonga mbele na kufanikiwa zaidi siyo hivi mnavyofanya. Nyie watu wa aina gani?
Huyu kwani hamkumnga'ng'ania mkaja kumdampu dkk za lala salama wakati kila timu imemaliza usajili?Huwa mnalalamika yanga wanang'ang'ania wachezaji hawa wanaachwa watafute maaslahi mazuri,
Wewe unashikwa uchungu wa mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Banda hata yeye alijua kitambo ni 50/50 kubaki ndiyo maana Simba waliendelea kumtunza vizuri hadi wakaenda naye Uturuki ndiyo maana hata alivyoachwa kaondoka kiroho safi hana kinyongo na mtu. Sitashangaa kama Simba ndiyo walimtafutia timu. Sasa huyu Shabani si alikuwa anaenda TFF kulalamika Yanga haitaki kumuachia?Mchezaji kaachwa bado una nuna so ulitaka Yanga wamtafutie timu? mbona sisi tume muacha Banda dirisha la CAF lisha fungwa au ya kwetu huyaoni?
Alikusudia kufunga ndio maana alinyanyua kichwa na kuona upenyo upo mwisho kule na kipa kashasogea kidogo..Yeah goli ni kali,ila namaanisha kama jamaa alikusudia kufunga basi ana akili sana
Yanga huwa hairembi. Fei Toto kashatushtua.Tatizo Djuma alijiona sijui nani, akavimba, ale jeuri yake sasa
Umetumia kinywaji gani?Banda hata yeye alijua kitambo ni 50/50 kubaki ndiyo maana Simba waliendelea kumtunza vizuri hadi wakaenda naye Uturuki ndiyo maana hata alivyoachwa kaondoka kiroho safi hana kinyongo na mtu. Sitashangaa kama Simba ndiyo walimtafutia timu. Sasa huyu Shabani si alikuwa anaenda TFF kulalamika Yanga haitaki kumuachia?