Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Djuma Shabani soka la bongo limeshamkataa! Maana tangu atoke Yanga SC amekuwa wa kuhangaika tu.
Ameenda huko Namungo kacheza mechi chache sana tena si kwa hule uzoefu wake so naona time yake imekwisha akatafute ugali sehemu nyingine tena nje ya Tanzania.
=====================
Beki wa zamani wa Young Africans Sc, Djuma Shabani raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amepewa mkono wa kwaheri na klabu yake ya Namungo Fc aliyojiunga nayo Julai 2024 kama mchezaji huru.
Soma Pia: Djuma Shabani kutua msimbazi kama mbadala wa Kapombe
“Asante Djuma Shabani kwa kipindi chote ulichokuwa nasi Wauaji wa Kusini. Tunakutakia kila la kheri kwenye majukumu yako mapya popote utakapokuwa” wamesema Wauaji hao wa Kusini katika taarifa yao.