Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mratibu wa Kitaifa wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa (Ulingo), Dk Ave- Maria Semakafu amesema anatamani wanasiasa wanaochipukia ndio wapate ubunge wa viti maalumu ili wazoefu waende majimbo wakashindane.
“Ningetamani kuona Gen-Z (wanasiasa wanaochipukia) waende kwenye viti maalumu, sisi watu wazima wenye uzoefu twendeni moja kwa moja majimboni kupambana ili kuwapa fursa watoto,” amesema.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?
Amesema hayo leo Jumatano Machi 5, 2025 akichangia mjadala wa Mwananchi X Space uliojadili mada isemayo: “Ni sahihi kuwa na ukomo ubunge, udiwani viti maalumu” ulioandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL).