chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Dk. Bashiru alikuwa ndio msimamizi wa sera za serikali akiwa kama Katibu Mkuu wa CCM. Wakati wake wa uongozi, kulikuwa na matukio mengi ya wananchi kutekwa na kupigwa risasi. Hakuwahi kuwasemea watu hao mahala popote pale.
Cha ajabu, wale ambao Bashiru alisimamia sera ya kuwanyanyasa na kuwaua, ndio wanambeba kwa mbeleko, wapinzani kuchukua nchi hii ni ndoto, hawana msimamo kwa jambo lolote. Sasa hivi mapinzani yamepata hamu ya kutekwa na kupigwa risasi, yako bega kwa bega na Bashiru, na Makonda na Sabaya watayaingiza Chaka ... Yatajaaa na kuanza kuwashangilia
Na wasichojua wapinzani, Bashiru anataka kuurudisha utawala uliowashikisha Ukta na mpaka leo wanajuta