Ndio nimejibu hoja hivyo
Wewe mtoto si rizikiDk. Bashiru alikuwa ndio msimamizi wa sera za serikali akiwa kama Katibu Mkuu wa CCM. Wakati wake wa uongozi, kulikuwa na matukio mengi ya wananchi kutekwa na kupigwa risasi. Hakuwahi kuwasemea watu hao mahala popote pale.
Cha ajabu, wale ambao Bashiru alisimamia sera ya kuwanyanyasa na kuwaua, ndio wanambeba kwa mbeleko, wapinzani kuchukua nchi hii ni ndoto, hawana msimamo kwa jambo lolote. Sasa hivi mapinzani yamepata hamu ya kutekwa na kupigwa risasi, yako bega kwa bega na Bashiru, na Makonda na Sabaya watayaingiza Chaka ... Yatajaaa na kuanza kuwashangilia
Na wasichojua wapinzani, Bashiru anataka kuurudisha utawala uliowashikisha Ukta na mpaka leo wanajuta
Kwa hiyo unakiri kuwa sera za CCM ni kuteka na kuua siyo?Dk. Bashiru alikuwa ndio msimamizi wa sera za serikali akiwa kama Katibu Mkuu wa CCM. Wakati wake wa uongozi, kulikuwa na matukio mengi ya wananchi kutekwa na kupigwa risasi. Hakuwahi kuwasemea watu hao mahala popote pale.
Cha ajabu, wale ambao Bashiru alisimamia sera ya kuwanyanyasa na kuwaua, ndio wanambeba kwa mbeleko, wapinzani kuchukua nchi hii ni ndoto, hawana msimamo kwa jambo lolote. Sasa hivi mapinzani yamepata hamu ya kutekwa na kupigwa risasi, yako bega kwa bega na Bashiru, na Makonda na Sabaya watayaingiza Chaka ... Yatajaaa na kuanza kuwashangilia
Na wasichojua wapinzani, Bashiru anataka kuurudisha utawala uliowashikisha Ukta na mpaka leo wanajuta
Makini sana ,huyu mtoto si riziki mada za kimama mama sana anatuletea sisi walume ndagoAlifanya nini kama hakuunga juhudi? Acheni ujinga funikeni Kombe tusonge mbele, tuache upumbavu wa kilofa lofa, any chapter with Magufuli Samia is inclusive hamuwezi kukimbia. Tuanzie upya maisha yaendelee.
Bila Magufuli nchi hii ingekuwa kama Nigeria, Somalia au Msumbiji ya Sasa, wale mende wa Msumbiji wangejitwalia empire.
Mkiwa na hasira na viroba uweni tiss yote na makamanda wa jeshi,
Msigusa habari za Mkuranga, Rufiji na Kibiti pumbavu kabisa, ongeeni mengine yote lakini sio habari za viroba.
Msicheze na usalama wa nchi na vyombo vya usalama fanyeni ujinga wote lakini sio kukebehi kazi za wapiganaji.
Kizalio cha mamayoUnatumia kiungo gani kufikiri?
Huna hoja !!Ww Ni chawa tu.Dk. Bashiru alikuwa ndio msimamizi wa sera za serikali akiwa kama Katibu Mkuu wa CCM. Wakati wake wa uongozi, kulikuwa na matukio mengi ya wananchi kutekwa na kupigwa risasi. Hakuwahi kuwasemea watu hao mahala popote pale.
Cha ajabu, wale ambao Bashiru alisimamia sera ya kuwanyanyasa na kuwaua, ndio wanambeba kwa mbeleko, wapinzani kuchukua nchi hii ni ndoto, hawana msimamo kwa jambo lolote. Sasa hivi mapinzani yamepata hamu ya kutekwa na kupigwa risasi, yako bega kwa bega na Bashiru, na Makonda na Sabaya watayaingiza Chaka ... Yatajaaa na kuanza kuwashangilia
Na wasichojua wapinzani, Bashiru anataka kuurudisha utawala uliowashikisha Ukta na mpaka leo wanajuta
Wewe poteza muda tu na deep state yaniii maji utaita mma....Dk. Bashiru alikuwa ndio msimamizi wa sera za serikali akiwa kama Katibu Mkuu wa CCM. Wakati wake wa uongozi, kulikuwa na matukio mengi ya wananchi kutekwa na kupigwa risasi. Hakuwahi kuwasemea watu hao mahala popote pale.
Cha ajabu, wale ambao Bashiru alisimamia sera ya kuwanyanyasa na kuwaua, ndio wanambeba kwa mbeleko, wapinzani kuchukua nchi hii ni ndoto, hawana msimamo kwa jambo lolote. Sasa hivi mapinzani yamepata hamu ya kutekwa na kupigwa risasi, yako bega kwa bega na Bashiru, na Makonda na Sabaya watayaingiza Chaka ... Yatajaaa na kuanza kuwashangilia
Na wasichojua wapinzani, Bashiru anataka kuurudisha utawala uliowashikisha Ukta na mpaka leo wanajuta
Ko mkuu unataka kusema wapinzani wasimsikilize bashiru ni muongo ππππDk. Bashiru alikuwa ndio msimamizi wa sera za serikali akiwa kama Katibu Mkuu wa CCM. Wakati wake wa uongozi, kulikuwa na matukio mengi ya wananchi kutekwa na kupigwa risasi. Hakuwahi kuwasemea watu hao mahala popote pale.
Cha ajabu, wale ambao Bashiru alisimamia sera ya kuwanyanyasa na kuwaua, ndio wanambeba kwa mbeleko, wapinzani kuchukua nchi hii ni ndoto, hawana msimamo kwa jambo lolote. Sasa hivi mapinzani yamepata hamu ya kutekwa na kupigwa risasi, yako bega kwa bega na Bashiru, na Makonda na Sabaya watayaingiza Chaka ... Yatajaaa na kuanza kuwashangilia
Na wasichojua wapinzani, Bashiru anataka kuurudisha utawala uliowashikisha Ukta na mpaka leo wanajuta
π π π Chawa wa kuupiga mwingi wana ummaaaaa kaaaHuna hoja !!Ww Ni chawa tu.
We umebadilisha jina tu mienendo ilikuwa ile ileMfuasi wa mwendazake ni chinembe, Mimi ni chiembe