Takalani Sesame
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 588
- 161
Vijana wanatakiwa wakamate CCM ili waje kukifufua maana CDM anatakiwa apate mpinzani wa kweli atakapokuwa madarakani, chama peeke cha upinzania na chenye nguvu kitakuwa ni ccm pekee
Hii ni type ya wale watu ambao enzi zile tukiwa Chuo nadhani waliamini huko mtaani kazi zinapatikana pale unapoambatanisha CV yako na kadi ya CCM. Walikuwa wanani-bore sana hawa. Binafsi naamini unatakiwa mtu kujitoa fahamu ili uwe mwanachama wa kweli (si mnafiki) wa CCM. Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko mtu mwenye akili zake timamu, mkweli na mpenda nchi yake kuwa CCM kwa sasa.
Leo taarifa nilizopokea zinadai kuwa Dk. Kigwangala ametinga katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza (Jumuiya ya Wazazi) na kuchukua fomu kuwania Uenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, huku akidai anaamini kuwa CCM ni chama makini na kwamba bado hakijapoteza mvuto.
Si alishawahi kusema kuwa ndani ya CCM anachukiwa kwa kuwa anasimamia ukweli na anaupeo mkubwa hivyo siku zote anaepukwa kuchaguliwa.
Yetu macho na masikio tunasubiri kuona na kusikia ili siku akija hapa JF tumfariji au kumpa hongera.
Ameshauriwa akashaurika.
Umuri wake anafaa kuongoza wazazi, anyway magamba mtajibeba!
ameshauriwa kuacha kuwatetea wananchi walio wengi na kutetea genge la wahuni lililopo madarakani. Kawaida yenu hiyo.
MmhLeo taarifa nilizopokea zinadai kuwa Dk. Kigwangala ametinga katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza (Jumuiya ya Wazazi) na kuchukua fomu kuwania Uenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, huku akidai anaamini kuwa CCM ni chama makini na kwamba bado hakijapoteza mvuto.
NiiceLeo taarifa nilizopokea zinadai kuwa Dk. Kigwangala ametinga katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza (Jumuiya ya Wazazi) na kuchukua fomu kuwania Uenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, huku akidai anaamini kuwa CCM ni chama makini na kwamba bado hakijapoteza mvuto.