Familia ya Dewji ndio adui namba moja wa Simba.Wajumbe wakiwa wengi wanakuwa hawanaga akili ndio mana hersi anawaita wawakilishi tuu wa matawi sio manyumbu yooote ya utopolo kisa wanakadi zao.
Ukiwasikiliza vizuri kwa earphones utagundua kuwa kuna vita ya kibiashara ambayo wametumwa waipigane. Kama simba wanataka ahueni waachane kabisa na udhamini wa familia ya Dewji sasa kabla mambo hayajakuwa mengi. Kuna siku familia itasema inaidai simba 500b na kuitaifisha. Unakumbuka mo alisemaga kuwa ameinunua Simba?Kama wote ni Mo hao ni ndugu watajuana wenyewe
Ukiwaambia waachane no Mo wanakuona huwatakii mema, Simba ilipofikia akiondoka leo Mo kesho inapata mwekezaji mwingine, wanaweza wakapitia kwenye kipindi kigumu kwa muda mfupi ila watakaa sawa na kuachana na masimango ya MwamediUkiwasikiliza vizuri kwa earphones utagundua kuwa kuna vita ya kibiashara ambayo wametumwa waipigane. Kama simba wanataka ahueni waachane kabisa na udhamini wa familia ya Dewji sasa kabla mambo hayajakuwa mengi. Kuna siku familia itasema inaidai simba 500b na kuitaifisha. Unakumbuka mo alisemaga kuwa ameinunua Simba?
Mo ndo anawazibia wawekezaji wengine,Mo ndo kirusi SimbaUkiwaambia waachane no Mo wanakuona huwatakii mema, Simba ilipofikia akiondoka leo Mo kesho inapata mwekezaji mwingine, wanaweza wakapitia kwenye kipindi kigumu kwa muda mfupi ila watakaa sawa na kuachana na masimango ya Mwamedi
Utajiri wa dewji huwezi kuutenganisha na Simba SC. Kila mwaka timu lazima iende preseason nje ya nchi kibiashara zaidi, hata ilkibaki siku 3 ligi kuanza.Ukiwaambia waachane no Mo wanakuona huwatakii mema, Simba ilipofikia akiondoka leo Mo kesho inapata mwekezaji mwingine, wanaweza wakapitia kwenye kipindi kigumu kwa muda mfupi ila watakaa sawa na kuachana na masimango ya Mwamedi
Hawa vijana pamoja na wanasimba wasichokubali ni ubora wa Yanga na ubovu wa Simba. Mpaka siku watakapokubali ukweli huu wataendelea kuteswa na Yanga.Vijana wanachopigania ni kuondoka kirusi ndani ya simba, uto wanapata sana info za ndani ya mnyama, hivyo nyumba lazima isafishwe.
Dawa pekee ya Simba kupona ni kutafuta tajiri mwingine na kuachiana na dewji wa miaala nenda miaka rudi. Dewji anaenunua mechi Simba kushinda haisaidii Simba bali biashara zake sokoni.Familia ya Dewji ndio adui namba moja wa Simba.
View: https://youtu.be/KqA1N1pDcDo?si=SFi4AOcSXaegXn_K
Simba imejaa machawa wa mo. Tofauti kubwa ya Yanga na Simba ni kwamba Yanga hawakubali ushindi wa mazabe, wanataka kuona uwezo wa wachezaji na ufundi halisi wa kocha. Simba wanafirahia ushindi wa kukunua. Hata kucheza finali ya CAF confederation mo alinunua mechi.Harakisheni mabadiliko ya muundo wa club 'transformation' gani inachukua zaidi ya miaka 7, munadumazwa akili kwa kauli mbiu ya Simba guvu moyaaa, (Simba nguvu moja)
Eti ndiyo ubaya ubwelaSimba imejaa machawa wa mo. Tofauti kubwa ya Yanga na Simba ni kwamba Yanga hawakubali ushindi wa mazabe, wanataka kuona uwezo wa wachezaji na ufundi halisi wa kocha. Simba wanafirahia ushindi wa kukunua. Hata kucheza finali ya CAF confederation mo alinunua mechi.