Dk. Mwinyi akutana na uongozi wa Taasisi ya Big Win

Dk. Mwinyi akutana na uongozi wa Taasisi ya Big Win

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
DK. MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA BIG WIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka Taasisi ya Big Philanthropy ya Uingereza kushirikiana na Serikali kwa mpango wa lishe mashuleni katika kupunguza utoro na kuongeza ufaulu.

Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo alipokutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Big Win Philanthropy, Dkt. Kesete Admasu na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar tarehe 25 Juni, 2024.

Aidha Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Dkt. Admasu ameleeza kuwa wako tayari kushirikiana na Serikali katika fursa za kuwajengea uwezo watendaji wa Serikali na viongozi pamoja na ushirikiano wa sekta mbalimbali.

PIA SOMA
- Mama Mariam Mwinyi akutana na Viongozi wa Taasisi ya Big Win Uingereza

IMG-20240625-WA0029.jpg
IMG-20240625-WA0027.jpg
IMG-20240625-WA0025.jpg
IMG-20240625-WA0028.jpg
IMG-20240625-WA0023.jpg
IMG-20240625-WA0024.jpg
IMG-20240625-WA0022.jpg
IMG-20240625-WA0026.jpg
IMG-20240625-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom