Dk Philip Mpango: Leo nimefanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Mohamed Shein

Naomba kuuliza, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, na Karibu Mkuu.. makaazi yao huwa ni uraiani au ni Ikulu pia?
Katibu mkuu kiongozi au makatibu wizara mbalimbali,weka swali lako vizuri ujibiwe
 
Hicho cheo MKASI ndio unakuwa kitendea kazi chako kikuu kikata utepe kwa ajil ya ufunguzi
Afadhali enzi za JPM makamu alituwakilisha kwenye vikao muhimu nje ya nchi ila Sasa yeye hataki kumpa jukumu Hilo vp.
 
Hiki cheo sijui kina nini? Hata uwe mchapa kazi kweli kweli ukikipata unakuwa upo upo tu![emoji16]
Hiki Cheo ndivo kinapaswa kuwa kwa mfumo wa nchi yetu.Unasubiri mwenzako afe ili uendelee alipokwama na kuanza kumnanga
 
Ceremonial! Mbona huyu alitokea huko bila kura unakosema ceremonial.
 
Vyeo kama hivi sijui DC, katibu tawala nk vingefutwa tu kupitia katiba mpya
 
Kumbe hawana makazi Dodoma, hawa ndo wanapingana na adhma ya kupafanya Dodoma kuwa makao makuu........daily wapo Dar, shida ni nini hasa.
 
Kumbe hawana makazi Dodoma, hawa ndo wanapingana na adhma ya kupafanya Dodoma kuwa makao makuu........daily wapo Dar, shida ni nini hasa.
Fuatilia kwa undani ndio uje ulete critiscism
 
Kichwa kimekolea super black nimezoom mpaka nimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inakuhusu nini kubleach nywele mbona Trump anavaa mpaka wig
lakini wafuasi wake wanamkubali
sana tuache mambo ya binafsi shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…