Dk Philip mpango ulizamilia kweli kuwa padre au ulikuwaga unatania tu?

Dk Philip mpango ulizamilia kweli kuwa padre au ulikuwaga unatania tu?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wana MUNGU

Kwetu sisi wakatoliki ndoto kubwa kabisa kuliko zote ni kuwa Padre usalishe Misa

Kuna mkatoliki mwenzagu ambaye hata leo sijamuona kanisan pale parokian kwetu Philip mpango et kumbe naye alikuwaga anasomea upadre

Ndo huwa najiuliza alikuwaga Sirius au matan tu maana hata Mimi nilisomea lakin nikashindwa

Asante

LONDON BOY
 
Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza halafu tuendelee kuhusu ukatoliki 🤔
 
Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza halafu tuendelee kuhusu ukatoliki 🤔
Cha kwanza MUNGU siyo jengo kwamba unaweza lisonta lileee paleee

Nawewe pia thibitisha kutokuwepo kwa MUNGU
 
Cha kwanza MUNGU siyo jengo kwamba unaweza lisonta lileee paleee

Nawewe pia thibitisha kutokuwepo kwa MUNGU
Uliesema uwepo wa Mungu unapaswa uthibitishe uwepo wake , wap umeona nimeanzisha uzi kuongelea kuto kuwepo au kuwepo kwa Mungu?
 
Ukitoa sababu za kwa nini ulishindwa kuwa padre (wa shirika ama wa jimbo) naye atakwambia kama alikuwa serious ama lah!
 
Back
Top Bottom