Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 10, 2024 #1 Aman iwe nanyi wana MUNGU Kwetu sisi wakatoliki ndoto kubwa kabisa kuliko zote ni kuwa Padre usalishe Misa Kuna mkatoliki mwenzagu ambaye hata leo sijamuona kanisan pale parokian kwetu Philip mpango et kumbe naye alikuwaga anasomea upadre Ndo huwa najiuliza alikuwaga Sirius au matan tu maana hata Mimi nilisomea lakin nikashindwa Asante LONDON BOY
Aman iwe nanyi wana MUNGU Kwetu sisi wakatoliki ndoto kubwa kabisa kuliko zote ni kuwa Padre usalishe Misa Kuna mkatoliki mwenzagu ambaye hata leo sijamuona kanisan pale parokian kwetu Philip mpango et kumbe naye alikuwaga anasomea upadre Ndo huwa najiuliza alikuwaga Sirius au matan tu maana hata Mimi nilisomea lakin nikashindwa Asante LONDON BOY
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 10, 2024 #2 Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza halafu tuendelee kuhusu ukatoliki 🤔
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 10, 2024 Thread starter #3 min -me said: Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza halafu tuendelee kuhusu ukatoliki 🤔 Click to expand... Cha kwanza MUNGU siyo jengo kwamba unaweza lisonta lileee paleee Nawewe pia thibitisha kutokuwepo kwa MUNGU
min -me said: Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza halafu tuendelee kuhusu ukatoliki 🤔 Click to expand... Cha kwanza MUNGU siyo jengo kwamba unaweza lisonta lileee paleee Nawewe pia thibitisha kutokuwepo kwa MUNGU
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 10, 2024 #4 Beira Boy said: Cha kwanza MUNGU siyo jengo kwamba unaweza lisonta lileee paleee Nawewe pia thibitisha kutokuwepo kwa MUNGU Click to expand... Uliesema uwepo wa Mungu unapaswa uthibitishe uwepo wake , wap umeona nimeanzisha uzi kuongelea kuto kuwepo au kuwepo kwa Mungu?
Beira Boy said: Cha kwanza MUNGU siyo jengo kwamba unaweza lisonta lileee paleee Nawewe pia thibitisha kutokuwepo kwa MUNGU Click to expand... Uliesema uwepo wa Mungu unapaswa uthibitishe uwepo wake , wap umeona nimeanzisha uzi kuongelea kuto kuwepo au kuwepo kwa Mungu?
SACO JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 2,623 Reaction score 3,397 Nov 10, 2024 #5 Nimelia sana
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Nov 10, 2024 #6 C ALIKUWA MSABATO
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Nov 10, 2024 #7 Saa nne kamili ndo naenda kulala.
B M F ICONIC JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 824 Reaction score 1,631 Nov 10, 2024 #8 MAra mojamoja hua anasalisha misa kwa kiboko ya wachawi
Ihayabuyaga JF-Expert Member Joined Aug 22, 2011 Posts 481 Reaction score 530 Nov 11, 2024 #9 Ukitoa sababu za kwa nini ulishindwa kuwa padre (wa shirika ama wa jimbo) naye atakwambia kama alikuwa serious ama lah!
Ukitoa sababu za kwa nini ulishindwa kuwa padre (wa shirika ama wa jimbo) naye atakwambia kama alikuwa serious ama lah!