huyu jamaa kwa sasa ni mtaafu, na nnategemea yupo na mambo yake mengine mitaani. ila hakustaafu kipindi kirefu.
inasemekana kuna kipindi alipendekezwa awe wa waziri kiongozi wa zanzibar badala ya dr Omar Ali Juma (RIP), ila watu wengi wanamsema kama huyu jamaa ni conservative. ni mtu mgumu na anapelekesha sana ukifanya nae kazi. ni mtu amabye anajisikia kuwa anajua sana na wengine wengi anaona wazembe.