Binti Maria
Senior Member
- Jun 26, 2007
- 158
- 33
Sidhani kama amefanya, if so then it is wrongly timed given the series of events that are expected in this week.
Dr. Slaa nakushauri ili upate media coverage kubwa, subiri Waziri Mkuu apatikane, na Rais JK alihutubie bunge, then baada ya wiki mwaga kila kitu adharani. Ukifuata ushauri wangu utapata mileage kubwa zaidi!!
Nakutakia kila la kheri Mh. Dr. W.P. Slaa
ni kweli muda huu watu wengi wanasubiri baraza la mawaziri na kiranja wao mkuu Mkuu wa nchi akimaliza tu hii kazi Dr Slaa amwage sera na yaliyo moyoni mwake
mwacheni atulie kwanza manake nimemwona hata kaafya kake kametetereka
Nimesikia sasa hivi toka Clouds FM kwenye taarifa ya habari kuwa Dr.Slaa keshaongea na Waandishi wa habari akiwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na wametoa msimamo kuwa BADO CHADEMA HAIYATAMBUI MATOKEO YA URAIS na Dr.Slaa amesema yuko TAYARI KUTAJA MAJINA YA MAAFISA USALAMA WALIOSHIRIKI KWENYE UCHAKACHUAJI WA KURA kama atahitajiwa kufanya hivo mahakamani.
<br />Mwalim historia kuna siku atawaumbua, hayajui ya kwamba hakuna chama kitakachotawala milele, ila Tanzania itakuwepo kwa muda mrefu zaidi na hapo ndo mambo yatakapoihukumu Channel 10Channel Ten wameniudhi sana, they are not balanced. Issue ya Mch. Mtikila kutaka kuishitaki NEC hawakutaka asikike sauti yake LAKINI issue ya Mchungaji Mtikila kuikandia CHADEMA, wamemwacha akaboronga huyooo. Issue ya Dr. Slaa kuongea pia hawajamwonyesha akiongea. Cha ajabu wakaonyesha Synovate wakiongea upupu. Nawapa ushauri wa bure Channel TEN, Si CCM wala TLP, wala CHADEMA wanaofurahia BIASENESS hiyo. Tambueni kuwa, ktk ulimwengu wa uwazi, ni vema ukawa balanced, ukaficha hisia (imotions) zako.<br />
<br />
pls, pls...