mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kwa nini viongozi huwa wanaapishwa?
Unadhani ule ni utani?
Ni agano kati yako na Mungu ukienda kinyume itakutafuna tu,kama sio wewe ni kizazi chako.
Kiapo cha mapadre ni hatari sana nina mifano ya mapadre watatu ambao walivunja kiapo na kuamua kuoa ila mwisho wao ulikuwa sio mzuri.
Dk Slaa anazeeka bila amani sababu ya kiapo
Mungu fundi