Kwani si kuna utaratinu ulifuatwa mpaka yeye kurudi kwenye life la kawaida?? Kama kuna utaratibu na ulifuatwa, bas hiyo ndio namna ya kumtoa mtu kwenye agano/kiapo ambacho humfunga mtu.
Mfano kwa sisi wakristo, ndoa ni agano (kiapo cha ndoa) , ila ujitoe kwenye hili agano kuna sababu na taratibu zake , ya kwanza ni Kifo, nyingine ni Zinaa. Hivi vinamuweka mtu free kuendelea na maisha mengine nje ya kiapo bila madhara