silaa kaanza mda mrefu wananchi wanauliza maswali mazuri mnoJe nini kinaendelea huko Iringa?Dr. Slaa kesha anza kuzungumza?
Asante kwa taarifa nadhani watu wengi wanapata somo zuri.kilimo kwanza ni nini? hii kauli mbiu ilfanyiwa utafiti lini? anahoji slaa