...Presidential material inaonekana dhahiri shahir kwa mh dk Slaa... Huyu ndiye rais tuliekuwa tunamtarajia atufikishe kwenye mafuriko ya maendeleo kwa kuwa ana vision na mission ya kutufikisha kwenye kilele cha maendeleo...
Tusio Bongo jamani mbona utamu mnatunyima?Tuwekeeni basi na sisi hapa YOUTUBE maana Mafuriko ya maendeleo tunayataka kinoma....Go home go...Dr Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwa mtu yeyote aliyemsikiliza jana Dr. Slaa na kwa umakini ni wazi atampa kura. Hakika anajua anachokifanya na anajua watanzania wanataka nini.
Sera na mikakati yake ni wazi akipata urais Tanzania itapiga hatua kubwa sana. Anajua matatizo ya umasikini wetu. Sio yule jamaa anayeongoza nchi hata hajui umasikini wetu unatokana na nini.
Sifa kubwa ya rais makini ni kwamba lazima awe na VISION. Dr Slaa anajua anataka Tanzania ya kesho iwe vipi. Hakika nimekubali Mungu katushushia Musa wa kutuvusha jangwani. Malaria Sugu mbona kimya ndugu yangu?
Yesterday, I was really impressed. The guy knows! He's intelligent and has everything in his head. No wonder the guy scooped PhD with Summa Cum Laude (first class with honours) from a very reputable university St Urban in Rome. Only great thinkers like Dr Slaa are admitted to study at St Urban.