Godfrey Dilunga
.
Swali: Una ujuzi wa lugha ngapi?
Dk. Slaa: Nimesoma na najua lugha ambazo ilibidi lazima uzijue ili ufanye mitihani. Kwa hiyo najua vizuri Lugha ya Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno, Kifaransa ingawa kuzungumza inakuwa ngumu kutokana na mazoea ya ulimi kule nilikozaliwa, pia najua lugha ya Kilatini, Kiingereza na Kiswahili.
SOURCE: Raia Mwema - Agosti 25, 2010
Siyo Kimbulu, ni Kiiraqw.Mkuu umesahau lugha ya kwao Kimbulu
Lakini je Slaa kama alivunja ahadi za Upadre kwa MUNGU je atatunza ahadi atakazoweka kwa wananchi bila kubadilika? KA KIJISAWLI TU. Je credibility na integrity tuipimeje? nipeni shule magwiji wa siasa.
Na kimasai piaSiyo Kimbulu, ni Kiiraqw.
Lakini je Slaa kama alivunja ahadi za Upadre kwa MUNGU je atatunza ahadi atakazoweka kwa wananchi bila kubadilika? KA KIJISAWLI TU. Je credibility na integrity tuipimeje? nipeni shule magwiji wa siasa.
Na si hilo tu. Angalia alivowatumikia kwa uaminifu watu wa Karatu kwa miaka ya 15 kama mbunge.Mbona mnakuwa wepesi kusahau. Dr. Slaa kipimo chake ni kuwa bungeni kwa miaka 15 na kuibua ufisidi uliokithiri.
mi sikuelewi kabisa mwache raisi wangu wewe unajua ipi?Kikwete anajua lugha ngapi?
Kikwere, Kiswahilina na kiswanglish
Na si hilo tu. Angalia alivowatumikia kwa uaminifu watu wa Karatu kwa miaka ya 15 kama mbunge.
Lakini je Slaa kama alivunja ahadi za Upadre kwa MUNGU je atatunza ahadi atakazoweka kwa wananchi bila kubadilika? KA KIJISAWLI TU. Je credibility na integrity tuipimeje? nipeni shule magwiji wa siasa.
Godfrey Dilunga
.
Swali: Una ujuzi wa lugha ngapi?
Dk. Slaa: Nimesoma na najua lugha ambazo ilibidi lazima uzijue ili ufanye mitihani. Kwa hiyo najua vizuri Lugha ya Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno, Kifaransa ingawa kuzungumza inakuwa ngumu kutokana na mazoea ya ulimi kule nilikozaliwa, pia najua lugha ya Kilatini, Kiingereza na Kiswahili.
SOURCE: Raia Mwema - Agosti 25, 2010
Kwa hiyo akijua lugha nyingi ndio anafaa kuwa RAIS..??!!
kwa hiyo unataka kuniambia kipimo cha ujuaji mambo ni mtu kuongea lugha nyingi... ! kwa nini asigombee ukalimani ...:becky: kura yangu anayo, lakini sio URAIS!Njiwa peleka salaam, hatutaki raisi goi goi na mgonjwa!
kwa hiyo unataka kuniambia kipimo cha ujuaji mambo ni mtu kuongea lugha nyingi... ! kwa nini asigombee ukalimani ...:becky: kura yangu anayo, lakini sio URAIS!
lakini je slaa kama alivunja ahadi za upadre kwa mungu je atatunza ahadi atakazoweka kwa wananchi bila kubadilika? Ka kijisawli tu. Je credibility na integrity tuipimeje? Nipeni shule magwiji wa siasa.
uhitaji kunielewa...........kwani mi B*s*a wako?mi sikuelewi kabisa mwache raisi wangu wewe unajua ipi?