Dk. Slaa naomba majibu katika hili

Dk. Slaa naomba majibu katika hili

Magezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2008
Posts
3,359
Reaction score
702
Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.

Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?
 
uchunguzi unaendelea.................!so far yeye mamlaka ya kutoa ripoti ya uchunguzi!SATSFIED?!..
 
mpwa smthing z missing smwhere....
 
Nakumbuka police walisema wanafanya uchunguzi na ukikamilika wangetoa taarifa.
Tuwaulize polish kimetokea nini?
 
Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.

Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?

Siyo wajibu wa Dk. Slaa kuuambia umma riport ya ki-uchunguzi, yeye alikabidhi ushahidi wote na vifaa alivyovikuta pale kwa usalama wa taifa na police sasa kama unataka riport wasiliana na Kitengo maalum cha mambo ya Criminal investigation. Dr Slaa endelea na kazi zako.
 
Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.

Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?

Hivi wewe unaishi wapi? huko unapoishi ndio huwa mna taratibu za kutoa ripoti za kipolisi na kiusalama victims wenyewe?
 
Nilidhani kwa kuwa muda umekuwa mwingi tangu jambo hilo limetokea angewauliza wanaochunguza kulikoni lakini kama hajauliza ni suala la kusema kuwa hajaulizia kuhusu suala hilo.

lakini MTM usimjibie nadhani ataingia hapa sebuleni na kunijibu kile nacho ulizia kwa ni nataka kujua suala hilo limeishia wapi.

unaposema ninaishi wapi.....nadhani una mawazo mgando kwa sababu hili ni jambo ambalo inabidi litolewe taarifa haraka kwani lilihusu uhai wa raia ktk nchi. Dk. slaa sijasema yeye anipe ripoti ya uchunguzi lakini anaweza kuwa anajua labda ameambiwa lolote na wanaochunguza, na hilo ndo nalo ulizia.

Polisi siyo miungu kama wewe unavyo dhani wanaulizwa pia na wanantakiwa watoe majibu pale inapo bidi.
 
Nimekuelewa mkuu, tuko pamoja sana!!!
 
Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.

Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?
Kwa nini usiwaulize wanaochunguza? nadhani wao watakuwa na jibu zuri kuliko Slaa
 
Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.

Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?

Vipi,
unatafuta kisababu chochote cha kuchochea mjadala kuhusu credibility ya Dr. Slaa?
 
huyo mzee ni mlopokaji tu...

Nadhani wewe usiye mwelewa anachosema ndiye mlopokaji!! Kwani Dr Slaa yupo wazi kabisa na anachotetea na anachopinga,! Kifupi anapinga ufisadi na dhuluma kwa watanzania wanyonge.
 
Siyo lazima kila jambo asimame hadharani kuutangazia umma. Kuna masuala mengine, anayaachilia kwa maslahi ya taifa.
 
jamani hoja yangu haina chembe yoyote ya unafiki wala nini niliona kimya tu nikaona niulize kitu kama hiki. Wala sina nia yoyote mbya mbali na kutaka kujua ni nini kilicho jiri kuhusiana na issue ile.
 
Back
Top Bottom