uchunguzi unaendelea.................!so far yeye mamlaka ya kutoa ripoti ya uchunguzi!SATSFIED?!..Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.
Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?
mpwa smthing z missing smwhere....uchunguzi unaendelea.................!so far yeye mamlaka ya kutoa ripoti ya uchunguzi!SATSFIED?!..
Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.
Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?
Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.
Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?
Hivi wewe unaishi wapi? huko unapoishi ndio huwa mna taratibu za kutoa ripoti za kipolisi na kiusalama victims wenyewe?
Nilidhani kwa kuwa muda umekuwa mwingi tangu jambo hilo limetokea angewauliza wanaochunguza kulikoni lakini kama hajauliza ni suala la kusema kuwa hajaulizia kuhusu suala hilo.
lakini MTM usimjibie nadhani ataingia hapa sebuleni na kunijibu kile nacho ulizia kwa ni nataka kujua suala hilo limeishia wapi.
unaposema ninaishi wapi.....nadhani una mawazo mgando kwa sababu hili ni jambo ambalo inabidi litolewe taarifa haraka kwani lilihusu uhai wa raia ktk nchi. Dk. slaa sijasema yeye anipe ripoti ya uchunguzi lakini anaweza kuwa anajua labda ameambiwa lolote na wanaochunguza, na hilo ndo nalo ulizia.
Polisi siyo miungu kama wewe unavyo dhani wanaulizwa pia na wanantakiwa watoe majibu pale inapo bidi.
Kwa nini usiwaulize wanaochunguza? nadhani wao watakuwa na jibu zuri kuliko SlaaMh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.
Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?
Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma.
Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni nini matokeo ya uchunguzi uliofanywa na wahusika (polisi na UWT)?
huyo mzee ni mlopokaji tu...
Hujaeleweka mkubwa kwamba mlopokaji (mropokaji) Dr Slaa au Magezi?huyo mzee ni mlopokaji tu...