Elections 2010 Dk Slaa: Sitakubali damu ya watanzania kumwagika!!!

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Posts
1,068
Reaction score
67
miongoni mwa kauli zilizonifurahisha zilizotolewa na dk ws kwenye mahojiano ya moja kwa moja aliyofanya na kituo cha runinga cha itv hivi karibuni, ni kauli yake hiyo ya kutokukubali damu ya watanzania kumwagika.




Hivyo, propaganda yoyote ile ya kumchafua dk ws kunakofanywa na 'watu wasiojukana' hakika hazitafanikiwa kwa sababu, kama dk mwakyembe alivyowahi kusema, watanzania si wajinga kiasi hicho tena.




Ni kwa sababu hiyo; 2010 hatudanganyiki!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…