JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Jul 1, 2012 #141 leo nimeamini uwezo wa kufikiri unatofautiana. Huyo anayesema serikali ikachukue madaktari nje na iwaache hawa anaakili kweli? Daktari gani atakubali kuja bongo kwenye mazingira mabovu ya kazi?
leo nimeamini uwezo wa kufikiri unatofautiana. Huyo anayesema serikali ikachukue madaktari nje na iwaache hawa anaakili kweli? Daktari gani atakubali kuja bongo kwenye mazingira mabovu ya kazi?