Dk Tulia aongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya IPU akiwa Mbeya

Mafyangula

Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
75
Reaction score
100
Kipenzi cha wana Mbeya mama anayejitoa kwa kiasi kikubwa sana katika kuwahudumia wananchi wake na Tanzania kiujumla Dk Tulia Ackson. Ameendelea kufanya makubwa hadi duniani.

Leo kilichonifurahisha zaidi ameongoza kikao na viongozi wa dunia akiwa Mbeya kwenye mawimbi na upepo na ubaridi mzuri kabisa na mambo yakaenda bila mkwaruzo wowote hule wa Internet

Hii ni kubwa sana inaonyesha nchi yetu inamaaendelea makubwa ya kila idara. Hongera Rais Samia, rais wa nchi na kipenzi cha Watanzaia.
====================
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo Jumatatu, Machi 3, 2025 ameongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya IPU.

Soma Pia: Rais wa IPU Dkt. Tulia Ackson akifunga shughuli za Bunge Ajutia Sintofahamu iliyotokea

Kikao hicho, kilichofanyika kwa njia ya mtandao akiwa jijini Mbeya, ni sehemu ya maandalizi ya mchakato wa kuchagua katibu mkuu mpya wa IPU, atakayeongoza sekretarieti ya umoja huo kuanzia Juni 2026.

Uchaguzi huo unatarajiwa kuhusisha mabunge wanachama 180, huku vigezo vikuu vya nafasi hiyo vikijikita katika uwezo na sifa binafsi za waombaji.

Kikao hicho ni hatua muhimu katika kuhakikisha mchakato wa uchaguzi wa katibu mkuu unafanyika kwa uwazi na ufanisi, kwa mujibu wa taratibu za IPU.

Rais Samia mitano tena hadi 2030 na Dk Tulia Ackson Mitano tena hadi 2030
 
Haya, vijana wa Chadema njooni mpinge na mseme hakuna kitu hapo! Njooni HARAKA!
 
Aisee... Hii teknolojia wengine tumeshaitumia muda mkuu hamna jipya, mpaishe Dr Tulia kwa content zake...
 
Kipenzi cha wana Mbeya mama anayejitoa kwa kiasi kikubwa sana katika kuwahudumia wananchi wake na Tanzania kiujumla Dk Tulia Ackson. Ameendelea kufanya makubwa hadi duniani.

Leo kilichonifurahisha zaidi ameongoza kikao na viongozi wa dunia akiwa Mbeya kwenye mawimbi na upepo na ubaridi mzuri kabisa na mambo yakaenda bila mkwaruzo wowote hule wa Internet

Hii ni kubwa sana inaonyesha nchi yetu inamaaendelea makubwa ya kila idara. Hongera Rais Samia, rais wa nchi na kipenzi cha Watanzaia.
====================
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo Jumatatu, Machi 3, 2025 ameongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya IPU.

Soma Pia: Rais wa IPU Dkt. Tulia Ackson akifunga shughuli za Bunge Ajutia Sintofahamu iliyotokea

Kikao hicho, kilichofanyika kwa njia ya mtandao akiwa jijini Mbeya, ni sehemu ya maandalizi ya mchakato wa kuchagua katibu mkuu mpya wa IPU, atakayeongoza sekretarieti ya umoja huo kuanzia Juni 2026.

Uchaguzi huo unatarajiwa kuhusisha mabunge wanachama 180, huku vigezo vikuu vya nafasi hiyo vikijikita katika uwezo na sifa binafsi za waombaji.

Kikao hicho ni hatua muhimu katika kuhakikisha mchakato wa uchaguzi wa katibu mkuu unafanyika kwa uwazi na ufanisi, kwa mujibu wa taratibu za IPU.

Rais Samia mitano tena hadi 2030 na Dk Tulia Ackson Mitano tena hadi 2030
Amenyimwa safari na Katibu wake wa Bunge Mpya, muda huu angekuwa Geneva kanapenda kusafiri sana hako ka mama
 
Back
Top Bottom