ibrahim kisili
Member
- Feb 20, 2011
- 13
- 8
Dah hodi yako,!!! karibu sana, huyo hapo juu anaitwa Ritz
Hivi kesi ya msingi ni ipi? mpaka tusijadili ili swala? me nadhani majadiliano hayatakiwi kuathiri mwenendo wa shauri lililoko mahakamani ila kujadili kuteswa na kutekwa kwa dk ulimboka ni swala linalojadilika kabisa kabisa
Du mbona umepitiliza hadi chumbani?