Dk. Zainab sasa awa kisingizio, wanaume wengi wadai walizimia kwa huduma zake, ndio sababu ya wao kuchelewa nyumbani

Dk. Zainab sasa awa kisingizio, wanaume wengi wadai walizimia kwa huduma zake, ndio sababu ya wao kuchelewa nyumbani

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Sasa hii imeonekana ndio sababu ya wanaume kuchelewa nyumbani

Kila Nyumba anatajwa DK zainab kwamba ndio chanzo na kwamba walizimia usiku kucha.

Jamani
 
nini kinaendelea kwan wengine tupo shambani kulima nyanya
 
Picha ya Dr ikwapi
Huyu hapa katibu mukulu wizarani
images.jpeg
 
Teh teh.....anamjua vizuri sana mtu fulani.....najua sasa nae atajulikana vizuri zaidi!!
 
Kweli JF ya siku hizi imevamiwa na watoto wa . Com sisi Ma GT original tumeshajua nini kinaendelea. Kweli Dr Zainabu kiboko hata Mimi ananijua kuliko ninavyomjua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom