Dkt. Aaron Mujajati: Punyeto haina madhara ikifanyika kiusahihi

Atuambie kwanza kama na yeye anafanya hicho kitu kwa usahihi, na kwa miaka mingi huku akiwa hajapata madhara yoyote yale ili tumuamini.
 
Yani ukiwasikiliza wanaume wanajifanya wanaipenda sana chaputa na kuiunga mkono, ila cha ajabu wakioa halafu wake zao wakiwa katika zile siku ambazo hawawezi kuingiliwa wanaanza kuchepuka, sasa kama mbadala wa tendo upo ambao ni chaputa kwanini wanachepuka kwa kisingizio cha kukosa hilo tendo kila siku
 
Punyeto ni hatari sana.
 
kwanini ninyepuke wakati mke yupo..? nyeto ni plan z huko sasa why z ingali a ipo..??
 
ila kulingana na ongezeko la wauza dawa za nguvu za kiume itoshe kusema punyeto sio poa
Mnapandikizwa uoga tu ili watu wapige pesa, hili sio tatizo kubwa kivile ni saikolojia tu za watu zimealibiwa kutokana na matangazo kila kona. Kuna wanawake kibao wana matatizo ya nguvu za kike lakini hauwezi kusikia matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kike, Unajua ni kwanini? Kwasababu iyo sio content ya kupiga hela.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20240515-194423.png
    142 KB · Views: 9
Ni kweli ikiwa kwa kiasi haina madhara, shida ni addictive, mpigaji anakua mtumwa.
 
kwanini ninyepuke wakati mke yupo..? nyeto ni plan z huko sasa why z ingali a ipo..??
Nimesema kwa zile siku ambazo mke anakuwa hawezi kuingiliwa, sasa kwanini ukimbilie kuchepuka wakati mke yupo, ukizingatia madhara ya kuchepuka ni makubwa kuliko ya kunyetuka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…