johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao
Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama.
Suala la ubunge ni lingine kabisa tena ni rahisi mno ndio sababu wabunge wa CCM wakivuliwa uanachama huwa hawakimbilii mahakamani because wana uelewa mkubwa wa Katiba ya nchi.