johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanachukua chako mapema wanaelewa?wakati wakifika getini wanavua ubongo na kuukabidhi Kwa Wana chukua chako mapema (Ccm)🤔Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao
Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama.
Swala la ubunge ni lingine kabisa tena ni rahisi mno ndio sababu wabunge wa CCM wakivuliwa uanachama huwa hawakimbilii mahakamani because wana uelewa mkubwa wa Katiba ya nchi.
Kwakuwa udhaifu upo mjengoni sio,hivyo tikubaliane udhaifu uliosemwa anaoshotii na mjengo wake ameurithisha Kwa Bi tall🚶Nani apiganie uanachama ?? No body can do such kind of shit ..hata Chadema wenyewe wanapigania huo ubunge , hakuna haja ya kuzunguka wakat battle zone inaeleweka ...let us watch this wonder full movie
Aiseh siasa ni nomaKina Mdee wanatetea na jopo la mawakili wa Serikali. .
CDM jueni mnapambana na Dola.
Kuna udokta wa aina nyingi, madokta wengine wame specialise katika kutibu mbuzi, kondoo,mbwa, au mimea kama korosho,pamba, katani, huyu Yuko kundi hili?Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao
Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama.
Swala la ubunge ni lingine kabisa tena ni rahisi mno ndio sababu wabunge wa CCM wakivuliwa uanachama huwa hawakimbilii mahakamani because wana uelewa mkubwa wa Katiba ya nchi.
Rubbish ,huyo Akundunduma Ni majanga. Ubunge nanuanachama are inseperable!Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao
Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama.
Suala la ubunge ni lingine kabisa tena ni rahisi mno ndio sababu wabunge wa CCM wakivuliwa uanachama huwa hawakimbilii mahakamani because wana uelewa mkubwa wa Katiba ya nchi.
Wanaopigania ubunge Ni kina Halima.Nani apiganie uanachama ?? No body can do such kind of shit ..hata Chadema wenyewe wanapigania huo ubunge , hakuna haja ya kuzunguka wakat battle zone inaeleweka ...let us watch this wonder full movie
Kina Mdee wanatetea na jopo la mawakili wa Serikali. .
CDM jueni mnapambana na Dola.
Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao